Kipendacho Moyo Hula Nyama Mbichi

Kufuliana chupi sio tatizo jamani, na wala sio mapenzi kuzidi ni maisha ya kawaida tu.

Tatizo ni huyo kaka hajanunua kitanda! Wameweka godoro chini! Akafanye kazi apate pesa anunue kitanda ndio afaidi kumfulia mwenzie
 
Siwaelewi. Yeye kalalamika au nyie mnalalamika? Mnajua walikoanzia mpaka amfulie? Hayo ni mapenzi yao; kama wewe kumfulia mke wako ni dhambi lakini yeye akikufulia ni haki ni wewe na hakuna siku atakuja kukulazimisha mkeo akufulie lakini mapenzi is two way traffic. Unachopenda kufanyiwa na wewe mfanyie mpenzi wako vinginevyo ni ubabe au ufisadi wa mapenzi tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
fg.jpg
Hii inawafaaaa????????/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom