Kipenda roho..???

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Is Love all about blindness or something else?..

Why do hot Women Love ugly Men..or

Rich, famous or extremely good looking men getting average or below average women ?






















[ame="http://www.youtube.com/watch?v=YMeUvSJuivQ&feature=player_embedded"]YouTube- mireasa anului 2007 ALEXANDRIA[/ame]
 
hayo ndp mapenzii,

niliwah kiutana na dada mmoja aksema wanaume ma handsome sio sio makini na hawawezi kusimamia mambo mengi ya kifamilia
 
hayo ndp mapenzii,

niliwah kiutana na dada mmoja aksema wanaume ma handsome sio sio makini na hawawezi kusimamia mambo mengi ya kifamilia
Huh!
Hii ni kali! Lakini nadhani ni generalisation , si wote wako hivyo!
 
Ngoshwe , hakika kipenda roho ....hula nyama mbichi, mapenzi bana, hayaangalii umri,sur a wala umbo.
 


Hii inaogopesha wakulu
<!-- google_ad_section_end --><!-- / message -->
 
Ahh we mwanaume ukiwa na vijisent mbona unajichagulia tu!!!
 
Is Love all about blindness or something else?..

Why do hot Women Love ugly Men..or

Rich, famous or extremely good looking men getting average or below average women ?













Mbona kwenye hizi sioni cha kushangaza? Huyu Michael Douglas alikuwa Sexiest Man Alive mwaka mmoja kama sikosei.
 
Ngoshwe picha mbona mie sioni kilichokushangaza 🙂
 
LOVE IS MONEY====if you have money you can be loved...no doubt about it.
 
Ndoa sio u-handsome na u-beauty tu kuna vitu vingi mtu huwa anaangalia.

Kwanza mwanamme akiwa handsome huwa anaringa sana kwa sababu vibibi vya nje huwa vinamfuatilia sana.

Na mwanamke akiwa mzuri sana pia ni kasheshe kwa mume wake maana huringa na kujiona kuwa anapendwa na wanaume wengi.

Kwa wote wa aina hii wivu na kutoaminiana huvuruga amani nyumbani
 

ushauri wako Bitimkongwe?
Ukiwa Mbaya uoe/uolewe na mzuri
Ukiwa mzuri/uoe /olewe na mzuri?
50/50%
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…