Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
Samahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu
Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema mtoto wa mtu
Lakini napata shida sana na vijana wa wasafi
Maana hizo sura tu jamani sijui hata unawezaje kumkiss
Majamaa wakicheka kama wanalia wakilia kama wanacheka hata huelewi kipi ni kipi
Namsifu Wolper kwakweli... sio KWA zile sura jamaa... Kuna sura utavumilia lkn sio za vijana wa WASAFI
Kama haujawahi kukutana na WASAFI LIVE utaona kama nakutania Au na-hate
Kweli Kipenda roho hula nyama mbichi ila nyama za wasafi ni za kuzikimbiaa
Yelooowi embu nikae kimya miee Mungu ananiooonaa