Kipenda roho hula nyama mbichi...

Kipenda roho hula nyama mbichi...

"Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!"

aisee wenye sura chachu kazi tunayo
 
Umegusia jambo la msingi.
Kuna yule jamaa wanamwita Sheta, sura yake huwa kama analia na kucheka kwa wakati mmoja. Halafu mdomoni utafikiri ametafuna meno yake mwenyewe. Na macho yake ni kama ndubwi mwendokasi. Wanawake mnavumilia mengi sana aisee!
😀😀😀😀😀😀
dadeki!!!
 
Wewe mwenywe una umbo kama roobot hueleweki nyuma na mbele Sawa alafu unakuja kukosoa wanaume hapa, mwanaume sio sura mwanaume mashine.
 
Mmh sio kwa ukosoaji huo!..lakin hawakujiumba wao...dunia pia huumba ndo maan waswahil husema hujafa hujaumbika
 
"Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!"

aisee wenye sura chachu kazi tunayo
Nawaona nawaonaa
 
Wewe mwenywe una umbo kama roobot hueleweki nyuma na mbele Sawa alafu unakuja kukosoa wanaume hapa, mwanaume sio sura mwanaume mashine.
Sauwa
Ushawahi kuniona live lkn?
Ungekuwa umeniona usingeongea haya nenda kwa website yangu ukanione
 
Mmh sio kwa ukosoaji huo!..lakin hawakujiumba wao...dunia pia huumba ndo maan waswahil husema hujafa hujaumbika
Sawa mama kwahiyo?!
Kama ipo ipo tu kama hamna hamna pia
Mbona vzuri mnaviongelea vbaya vikisemwa shida ee?!
 
hahahahah! kwli wana sura mbaya ila wanachunikandio maana akina wema, wolper na aunt ezekiel wametulia.
 
Samahan naomba nimwashauri wadogozangu ambao hamjaolewa humu

Najua nimesema msitafute sana ma handsome na uzazi nimeshamaliza na sipo hapa kumsema toto wa mtu

Lakini napata shida sana na vijana wa wasafi

Hivi kweli mtu anamdatije - anaingiaje kwenye mahusiano na Harmorapa?! Au Harmonise? !

Maana hizo sura tu jamani sijui hata unawezaje kumkiss

Kuna siku alikujaga bodyguard wa Mondi ofisini kwetu na dogo m1 wa wasafi nilichokaa sana nimekubali mwarabu mweusi yeye kaoa ila reception yake baba doh sasa huyo dogo aliekuja nae ndio utatamani ucheke sijui ulie

Sura pua mdomo meno havina ushirikiano akicheka kama analia kwani hawa madogo wametokea kuzimu Au hapa duniani mbonaaaa?!

Namsifu Wolper kwakweli... sio KWA zile sura jamaa... Kuna sura utavumilia lkn sio za vijana wa WASAFI

Kama haujawahi kukutana na WASAFI LIVE utaona kama nakutania Au na-hate

Kweli Kipenda roho hula nyama mbichi ila nyama za wasafi ni za kuzikimbiaa

Yelooowi embu nikae kimya miee Mungu ananiooonaa

Kumbuka hujafa hujaumbika, maana ulichoandika Ni kumkosoa aliyekuumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom