Kipele cheupe kwenye korodani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipele cheupe kwenye korodani!

Discussion in 'JF Doctor' started by Papa Mopao, Sep 14, 2012.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Hiki kipele kimeota kwenye ngozi ya korodani, ni keupe na ni ngumu kwa kukiminya au kukishika, sasa kila nikijaribu kukikamua kinatoa usaha kwa mbali sana na pia damu inatoka si nyingi sana, na haiumi. JF Doctors, hii ni ugonjwa gani?
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  pole my dear! ngoja waje wajuzi.
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,501
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Nenda hospitali ndugu!!!
   
 4. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hata hapa ni Hospital, hujui kuwa hapa ni JF Doctor?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  Ugonjwa huo unaitwa kipeuo cha pili cha gono
   
 6. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,501
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Unaweza kumfanyia vipimo kwa kutumia keyboard yako?
  Haya doctor, mtibu mgonjwa huyo!!
   
 7. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwani vipimo vipo hospitali au maabara. Yeye ametoa tatizo, yaani kamuona JF Doctor, sasa baada ya hapo ndio atashauriwa akafanye vipimo maabara. Wewe vipi jamaa!
   
 8. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Haaa! hahaha, haya bana, japo nashukuru kwa kunistua!
   
 9. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  PROBABLY hiyo ni CHANCRE,YA SYPHILIS.,vipi ulimi nao hauna kidonda kama vile umejingata? .,muone daktari wa magonjwa ya zinaa,.ambao pila ni madaktari wa ngozi .[Ugonjwa huo unaitwa kipeuo cha pili cha gono.,,,,nimecheka ile mbaya]
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Asante kwa maelezo!
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Du! kipele cheupe!? umekwisha mkuu anza kugawa urithi!!
   
 12. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu Papa Mopao, ningekushauri kufika hospitali MAPEMA, uangaliwe tatizo ni nini..umetoa maelezo mazuri lakini hayatoshi kugundua chanzo ni nini, kwa maelezo yako tu inaweza kuwa mlolongo mrefu wa magonjwa lakini pia bado itahitajika kuchukua maelezo mengine na kufanya vipimo ambavyo hapa jukwaani haiwezekani kuvifanya.
   
 13. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,095
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Aisee nenda pale ANGAZA bro!!!!
   
 14. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Nimekwisha kivipi?
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  watakutisha hapa sana mkuu,you better go to hospital and see a specialist otherwise utapewa comments ambazo hutaamini lol
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Hata kwa mganga wa kienyeji hutibiwi kwa satellite.
  daktari anatumiaogani za fahamu kadhaa pamoja na kuona, na kushika.

  Haiwezekani ikawa imetokana na kunyoa? Huwa unapata vipele vya kunyoa?
  ni hatari kuminya kipele kisichoeleweka. Nenda ukaonane na daktari haraka iwezekanavyo.
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Asante kwa kunitahadharisha!
   
 18. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  pole sana kiongozi,hebu jaribu kuambatanisha na picha tafadhari!!
   
 19. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Kipele kimeota juu ya ngozi ya korodan, pale hamna kunyoa!
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  wasikutishe bana! sio STD..! hiyo ni epidermal cyst sijui kiswahili chake , you can either go to see a doc or u can do by ur self Here's what you do u take a sterile needle or other sharp object and insert it in to the center of the cyst and while bracing the skin by holding a finger right under the cyst. Then you rip the top of the cyst open by pulling the sharp object up through the top of the cyst to open it up. (sounds a lot more painful than it is). You can then easily squeeze out the contents and apply an antibiotic It heals quickly and never comes back. If kama hicho kipele cheupe ni kikubwa it's probably because you made several attempts to squeeze out the contents unsuccesfully and that makes them get bigger and harder.You can still open up and empty these large cysts but it's definitely going to hurt a little more. kama huwezi kufanya mwenyewe nenda kwa Dr. he will go same procedure It's not anything serious at all ni just minor cosmetic problem.. i hope this will help , Now get those unsitely things off your junk, man!
   
Loading...