Mama yangu mdogo aliolewa upareni basi full kula pure na kishombe, mi nakula pure za sukari ila hiyo chakula inayoitwa kishombe sijawahi iona tena toka miaka ya 80