Kipara kimeanza kuota

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,616
Reaction score
49,026
Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee.

Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza.

Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili.

Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara.

Please help.
 
Hapana aisee.
 
We unanyoa baada ya wiki mbili mimi nanyoa kila baada ya siku mbili, nina mashine yangu. Jikubali kisha endelea na habari nyingine za maisha.
 
We unanyoa baada ya wiki mbili mimi nanyoa kila baada ya siku mbili, nina mashine yangu. Jikubali kisha endelea na habari nyingine za maisha.
Sawa mkuu.
 
Kiache kikue kizoeleke. Utakuwa huru sana. Umeshafikiri ni nani kwenye huu ulimwengu anakufanya usiwe huru na mwonekano wako? Nani? Kwann? Utapoteza lipi kwa huyo mtu au watu ukiwa na mwonekano halisi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…