mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Hawo maduu walikuwa wawe chakula
ATAPIMWA MKOJO SIO MDA MREFU ANAUNDAMA SANA UCHUMI WA KATI.
ohoo walitakiwa wawe mbogamboga za watu sio !!Hawo maduu walikuwa wawe chakula
Hao ni ma air hostage🤔🤔🤔 daaaah hii kweli ni nchi ya intapretenyuaaaa sijui, ila hivyo hivyo....
Sio hivyo, hair hostage mimi nilisikia
😂😂😂😂Kwenye huu utawala tuna mengi ya kujifunzaLugha za watu zina wenyewe. Kichaa anataka kulazimisha anaishia KUBOFOA! Injinia soma hiyoooooooo!
kichaa: Air hostages
Umati: air hostesses
Kichaa: eh! Hao hao kiswahili mnawaita wahudumu wa ndani ya ndege
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yap na hiyo itampa kura nyingi sana Lisu 2020Lugha za watu zina wenyewe. Kichaa anataka kulazimisha anaishia KUBOFOA! Injinia soma hiyoooooooo!
kichaa: Air hostages
Umati: air hostesses
Kichaa: eh! Hao hao kiswahili mnawaita wahudumu wa ndani ya ndege
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana hao siyo wanafunzi ni Wahudumu wa ndani ya ndege (Airhostesses) wakisindikiza ndege yao kwenda Mangi Gereji kupigwa rangi. Labda hii ya wakubwa itapaa wachape kazi maana zile mpya zimepark tu hawajui zinangoja nini.Wajameni itazameni hiyo picha mimi nimeshindwa kuielewa kipanya ana maanisha nini maana nawaona wanafunzi tu sijui wanaenda shule[emoji849]
In God we trust
Hao maduu nahisi ndio walipanga wasafiri nandege kuipeleka gereji South kwaajili yakupakwa rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi mbona umeangua kicheko?
In God we trust