Kipanya wewe korosho tena?

Hapana, hebu angalia zaidi utaona. Angalia upande wa kulia, mbegu imechipua, imekua mpaka imetoa Bibo lenye korosho.
Maana yake korosho zitaotea ndani ya magunia mpaka zitatoa korosho mpya zikiwa ndani ya magunia.
Huyo ndio Kipanya.
Naziona tayari zimesha anza kchipua zikiwa bado kwenye gunia

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatisha sana mkubwa

In God we Trust
 
kwa akili ya kawaida kabisa unawarudishia wakulima korosho ili iwaje? watu wanasubiri pesa wewe unarudisha korosho mbovu why? hii ni serikali au? mlichukua korosho zao kwa matambo sana sasa mmekaa nazo halafu mnawarudishia mbovu, wapeni hela hata kama mbovu mtajua wenyewe si mlijifanya mnajua biashara? sio fresh kabisa dingi
 
Jiwe kachanganyikiwa
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…