Kipanya: Ume mdharirisha CAG...

Ndio mpango wa JIWE na stooge wake Blai Ndugai!!! Wamempata BWEGE mmoja wa kumuendesha ndio wanataka kumpandikiza!!
 
Kwa Nchi zinazojitambua,Zinazotanguliza Maslahi ya Taifa mbele, ambazo Viongozi wao huongozwa na maono,Dira,Utashi wa kisiasa, wasio fanya Kazi kwa sifa bali tija Mtu wa Caliber ya CAG huyu tulie nae humkumbatia,humtia moyo, huheshimiwa kwa Kazi nzuri anayoifanya ili kuwamotivate na kuwaInspire vijana wengine wadogo wawe kama CAG Profesa Assad.. Lakini kwa vile Sisi ni Vice versa, No wonder kuona katuni kama hizo.. Mungu Ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dooh CAG amedhallika sana... hadi na wachora katuni, amekuwa kifurushi kisicho thaminika... kime ning'inizwa tu, kina subiri kama kukatika au MTU wa kukiokoa kisije potea mbali

Tatizo lako wewe bk 7 akili yako finyu huwezi hata kutafsiri cartoon za Masoud kiuhalisia!! Hapo Masoud anaumbua mipango hasi ya JIWE kutaka kumuondoa CAG ili aweze kutimiza azma yake ya kuiba mali ya umma kiulaini!!
 
CAG ni mhimili wa nne wa nchi. Asidhalilishwe.
Pesa zetu tumemkabidhi Magufuli, CAG tumempa kazi ya kufuatilia na kuhakikisha pesa inatumika kama ilivyopangwa, Ndugai tumempa kazi ya kupangia matumizi pesa zetu. So kila mmoja ni muhimu kwa nafasi yake.
 
Tempering with the CAG will prove to be the final straw that breaks the camel''s back. Time will tell.
 
Inaonekana CAG anaelekea kukigawa chama cha Mapinduzi, wapo wanaomuunga mkono wakiongozwa wananchi walio wengi .....wapo wachache wanaojali matumbo yao wakiongozwa na Spika.!
 
Rais na Katibu Mkuu Hazina ni mtu na mjomba. Hazina imekuwa kibubu cha familia.

Waziri wa Fedha maskini yupo yupo tu. Ni Waziri jina tu. Wenye akili timamu tunajua ni mtu wa kuonea huruma. Leo akisema hiki, kesho wanatengua na kufanya yao.

Ili kibubu kiendeshwe kifamilia zaidi, wanataka CAG boya. Huyu wa sasa yupo timamu hataki upuuzi wao.

Job anatumiwa ili wamfurushe CAG. Hawatafanikiwa. Watafushwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…