real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
tingatinga likitumbua "serious fraud" ndio itakua anguko lake
maana limebebwa na hizo fraud
Naona hii katuni, kipanya nae ni mmoja kati ya wau wanaoamini huyu mkulu anatumbua tu vichunusi, majipu ya ukweli ndio yaliyo mbeba na kumuweka hapo alipo
ukiangalia hii picha ukalinganisha na kinachoendelea serikalini sasa hivi utakubaliana na huyu mdau