Halafu sijui kwanini kila siku analiongeza,lazima kuna kitu anamaanisha hapa.ilo chogo la mbele kila siku masoud analiongeza mpaka ifike 2020 atalichora lirefu kama jengo la nssf.
hahahaha...ha aisee hivi masoud -kipanya anadeserve kumchora mweshimiwa ivyo na mweshimiwa analichukuliaje ilo swala hahaha..hilo chogo la mbele kila siku masoud analiongeza mpaka ifike 2020 atalichora lirefu kama jengo la nssf.
Analichukulia poa tu, kwani hukumsikia siku ile anaongea na wahariri wa vyombo vya habari? Anasema kila siku hua anajiangalia kwenye kioo, yeye ndo kweli yuko kama vile anavyochorwa na kipanya?hahahaha...ha aisee hivi masoud -kipanya anadeserve kumchora mweshimiwa ivyo na mweshimiwa analichukuliaje ilo swala hahaha..h
hahahah..h duuu lakini masoud yule jamaa ni noma sana aiseeAnalichukulia poa tu, kwani hukumsikia siku ile anaongea na wahariri wa vyombo vya habari? Anasema kila siku hua anajiangalia kwenye kioo, yeye ndo kweli yuko kama vile anavyochorwa na kipanya?
Wazungu wakitaka kuchora katuni kuonyesha kichwa chenye akili uchora bichwa kubwa nyuma kuna siri gani mana chogo ya mbele imeonyesha udhaifu kiakili au ni kajipu kamo ndaniilo chogo la mbele kila siku masoud analiongeza mpaka ifike 2020 atalichora lirefu kama jengo la nssf.
Kwani huyo ni mweshimiwa gani? Ni naona ni kibonzo tu cha kufurahisha kisichofanana na mweshimiwa yeyote hapa duniani, labda kama akili yako imekutuma kuifananisha na mtu fulani unayehisi ana kichwa cha hivyo.hahahaha...ha aisee hivi masoud -kipanya anadeserve kumchora mweshimiwa ivyo na mweshimiwa analichukuliaje ilo swala hahaha..h
icho ni kibonzo ndio ila hatakama unajifanya hujui nini kinaendelea ngoja nikufahamishe "huyo ndo raisi wetu mpaka 2025 be there" i hate pretender'sKwani huyo ni mweshimiwa gani? Ni naona ni kibonzo tu cha kufurahisha kisichofanana na mweshimiwa yeyote hapa duniani, labda kama akili yako imekutuma kuifananisha na mtu fulani unayehisi ana kichwa cha hivyo.
afu na kidevu icho kinamanisha nini???
Masoud at his bestilo chogo la mbele kila siku masoud analiongeza mpaka ifike 2020 atalichora lirefu kama jengo la nssf.