Kipanya tena na dege letu kwa Madiba

Kipanya tena na dege letu kwa Madiba

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,312
Wakuu yule msanii maarufu wa michoro ya katuni amekuja tena na picha ambayo binafsi nimeshindwa kuitafsiri.

Naomba mwenye uelewa wa kusoma habari picha asaidie kutudadavulia.
20190903_111235.jpeg
 
Kuna pande mbili zinalumbana ukitazama kwa makini utaona kuna mvurugano kati wenye kijani na hawa wengine.

Tembelea ule uzi wa kukamatwa ndege humu jukwaani ukirudi kutazama hii katuni utaelewa kwa haraka.
 
Hivi hao wanao tukana wametumwa na nani haswaaa?
Kuna pande mbili zinalumbana ukitazama kwa makini utaona kuna mvurugano kati wenye kijani na hawa wengine.

Tembelea ule uzi wa kukamatwa ndege humu jukwaani ukirudi kutazama hii katuni utaelewa kwa haraka.
 
Yule hajawahi kuandaa mkakati ukafanikiwa
[emoji16][emoji16][emoji16] waliandamana pasipo kujua nini wanaandamana wanavulugana
Hii picha DAB hawezi kuiangalia
 
Ninavyoona anachora catoon kwa kuendeshwa na mihemko ya kisiasa

Kuna kundi analipenda ndio anapenda kulifurahisha kila mara

Ila kwa Sisi Wataalamu wa psyshology tushamsoma kitambo
Mara chache sana anaweza kuchora katuni zenye maana ila kwa sasa ni kama ameyumba kidogo.
 
Back
Top Bottom