Kipanya tena jamani

Naona kipanya anatafuta ubatizo wa moto
😂😂😂😂😂😂😂
 
Yaani hapo ni kwamba, gari la sisiem lipo juu kwa juu, yaani siku hizi halibebi wazee. Gari limekuwa la vijana peke yake. Si unawaona wazee wangu wanaangalia namna watakavyo kula matunda ya gari lao walio linunua muda mrefu, na wakaja kulitengeneza ktk awamu hii ya tano.
 
Modification ya hizo coil spring ni ya hatari sana,wakipita kwenye korongo tu tunawapoteza
 
Wazee hawawezi kupanda hapo..Gari sio kwa ajili yao tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…