Kipanya sijamuelewa

Kipanya sijamuelewa

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Aliyemuelewa
b2ac09c2ce4335df6a85c9d04cf5761e.jpeg
 
Hii ilikuwa na maana siku za nyuma (mwaka jana) kama ujuavyo kipanya anaenda na current issues,
 
22 - 03 - 2018 !! (sikumbuki kulikuwa na tukio gani msimu ule)
Nyekundu inaonekana sio damu ni chachanduu----pilipiliiiiiii

Mnyama mwenye tabia ya kujitafuna mwenyewe (mewaza nkaungukia puaaa)
 
Jamank hiyo picha kaiweka leo tena maana kuna tukio limeendana na hiyo picha
 
Naziona rangi za bendera ya CDM kwenye hii katuni.
tapatalk_1570528692682.jpeg


Yawezekana anamaanisha CDM kinaumizwa au kuharibiwa na waliomo humo humo ndani ya CDM.

Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Catoon za huyu bwana mdogo huenda na trend ya matukio na wala sio jeniuous
 
Back
Top Bottom