Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Feb 7, 2014 #1 Attachments ImageUploadedByJamiiForums1391785006.462259.jpg 7.6 KB · Views: 575
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 661 Feb 7, 2014 #2 Kipanya umemaanisha nini jamani
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Feb 7, 2014 Thread starter #3 zamlock said: Kipanya umemaanisha nini jamani Click to expand... Ndani ya chama lowassa mkubwa wanaobaki wote ni vidagaa tu!
zamlock said: Kipanya umemaanisha nini jamani Click to expand... Ndani ya chama lowassa mkubwa wanaobaki wote ni vidagaa tu!
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 963 Feb 7, 2014 #5 Kwa kuwasaidia tu. Gazeti la Mwananchi linamilikiwa na Lowassa kiaina. Nyoka wake Tido ndiye top hapo. Kipanya kapewa maelekezo.
Kwa kuwasaidia tu. Gazeti la Mwananchi linamilikiwa na Lowassa kiaina. Nyoka wake Tido ndiye top hapo. Kipanya kapewa maelekezo.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,794 Feb 7, 2014 #6 Daah nilisoma gazeti kumbe sikuambulia kitu....ndo napata picha sasa
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 7, 2014 #7 mpinga shetani said: Kwa kuwasaidia tu. Gazeti la Mwananchi linamilikiwa na Lowassa kiaina. Nyoka wake Tido ndiye top hapo. Kipanya kapewa maelekezo. Click to expand... Duh! nilidhani hofu kwa chama chake kumbe hata vyama vyengine?
mpinga shetani said: Kwa kuwasaidia tu. Gazeti la Mwananchi linamilikiwa na Lowassa kiaina. Nyoka wake Tido ndiye top hapo. Kipanya kapewa maelekezo. Click to expand... Duh! nilidhani hofu kwa chama chake kumbe hata vyama vyengine?