Kipanya ni balaa

Kipanya ni balaa

7de002dca044b477b2121b50a39401f0.jpg
Aisee hii cinema ya 2 ninjas tumeliwa kwa kweli,wangetuludishia hata chenji nasi
 
Kipanya anafikiria sana!

Kitu kilichotakiwa kuelezewa kwa kurasa zisizopungua tatu yeye anakiweka katika katuni moja na kinaeleweka kwa wenye kuelewa!
Hicho ni kipaji cha hali ya juu sana
 
Anatumia kazi ya sanaa na fasihi kufikisha ujumba. Kazi ya sanaa ni kama ifuatavyo:
  1. Kukosoa
  2. Kusifia
  3. Kuburudisha
  4. Kuelimisha
  5. Kutia moyo
  6. Kubadilika
  7. Kurekebisha
  8. Kukumbusha
  9. Kujihukumu
  10. Kujitadhimini
  11. Kujipima
  12. Kuwajibika
  13. Kuchukua hatua stahiki
  14. Kufichua
  15. Kuanika hadharani
  16. Kumboleza
  17. Kutia hamasa
  18. Kutetea
  19. n.k
Kama haya yoye yana msingi kwa watu na jamii kwa ujumla.....hawezi kuwekewa BAN!!!!!
Hivi kuna wimbo unaimba. Sanaa iwe ni kazi , sanaa isiwe ngaz
 
Mkuu anamkubali sana KP na hawezi kumpiga ban.... Pogba anadeal na wenye maneno mengi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom