Kipanya naye kwa uchokozi

Kipanya naye kwa uchokozi

clemence

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
594
Reaction score
212
kp20112014.jpg

kp17112014.jpg
 
I offer a Nobel Prize for this cartoon. No need a word more, to get a full understading of what is going on.
 
Mmm pinda anauwezo wa kumchakachua huyo akabakia kama kibua
 
katika watu wakweli kwa nafsi zao ni huyu Lizaboni ...."vikimzidi" huwa anawapa za uso tu na buku saba hachukui!:loco: Jus jokin!

Nilidhani baada ya kaskendo haka basi amepata WOKOVU ghafla haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:msela::msela:
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Masoud Kipanya ni Mwanaharakati wa Kweli haina Ubishi..Ndg yangu kamwe baki kwenye mstari wako wa kutetea WATZ Usijaribu kuingia kwenye chama chochote cha siasa ili tuwe sambamba kufumua haya maozo..
 
Back
Top Bottom