Kipanya na ujumbe wa leo..

Kipanya na ujumbe wa leo..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,478
Kipanya 3.JPG

Ha ha ha..
 
Labda mdahalo utumie questionnaire style ndio atakuja lakini ule wa kavukavu kama Kenya thubutu!
 
Labda mdahalo utumie questionnaire style ndio atakuja lakini ule wa kavukavu kama Kenya thubutu!

Na aalikwe Dr. Slaa, Prof Lipumba kati awepo Dr. Kikwete wazungumzie tuliko toka, tulipo na tunakoelekea
 
ha ha ha aaaa wanajuwa ilivyowaweka pabaya 2010 wakirudia tena 2015 wanarudi vijijini kulima
 
Kuna mdahalo mmoja ulimshirikisha Mkapa.. Mrema akadai Mkapa kapewa zawadi ya dhahabu ikulu.. Lol.. Kauli iliwasumbua sana Mkapa na serikali yake.. Kila mtu akawa anakuja na kanusho lake.. Nakumbuka ikulu waliita waandishi wa habari na kuwaonyesha zawadi zote ambazo Mkapa aliwahi kupewa.. Vichekesho vilikuwa..
 
Tufanye midahalo lazima...wakijanI na manjano watakimbia mjini
 
unajua huyu mhojiwa wa kp (magamba) hawakubali kitu kinaitwa 'progressive thinking'.
Laiti wangelikubali (japo haijulikani wao ni akina nani mpaka wakwamishe mdahalo) leo hii tusingekuwa hapa tulipo. Na hata tulingelikwenda na hawa hawa bado tungeliwajua weaknesses zao mapema!
Thanks KP
 
Nimependa jibu la Kipanya mdogo!

Ha ha ha.. Enzi zile za utoto.. A mockery childish answer.. Muuliza swali lazima aone noma kwa swali la kuonyesha kukimbia ukweli..
 
nipe maswali kwanza niyatafutie majibu ndio unipe mdahalo ha ha ha
 
Back
Top Bottom