Kipanya na Songombingo za NIDA

Kipanya na Songombingo za NIDA

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Mwenye macho na atazame na mwenye akili na achambue.
Screenshot_20200121-082644.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa tuseme ID card imechukuwa details zako zote na maana kila kitu kukuwezesha kupata sasa tatizo linakuja ukienda kuomba passport unaulizwa yote tena na mbaya lete karatasi ya mtaa sasa inasaidia nini kwa kweli ukienda kufungua account lete karatasi ya mtaa. Nilitegemea ukionesha ID card yako iwe imewakilisha kila tu hebu tuache kuishi au kufanya kazi kimazoea mpaka lini hii hali. This is too much kwa kweli. Kwanini serikali haiji na kauli moja tu ID card ukiwa nayo ndio kila kitu. ukienda Pass lete yote mpaka karatasi ya bibi na kibibi hapo unabadili tu passport yaani mitihani sana kwa kweli.
 
Hii inaitwa kichaa kapewa rungu. Nchi imekua vururu vururu.
 
Kweli. Hasa la passport walifail kabisa wakakatisha passport zetu zilizokuwa hazijaisha muda na pesa zetu hawakuturudishia. Matokeo yake tukaingia gharama za passport zingine tena.
Sasa hivi nyingine tena sijui pass za kielektroniki aisee zile walizobadili walichukua finger print yangu Nimetumia only 2-3 years
 
Heijah,
Mambo ya electronic tunayaiga lakini hatuyaamini au hatuyawezi au hakuna interconnection inayoaminika katika taasisi zetu, ili taarifa zako zipatikane popote unapoenda.
 
Hizo kompyuuta watu wanatumia kuandikia barua tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, maofisini bado mfumo wa hardcopy katika kufadhi taarifa za wafanyaki upopalepale. Nilidhani mpaka sasa ukitumia kitambulisho cha mpiga kura, leseni ya udereva, passport hata kitambulisho cha mfanyakazi(serikalini) taarifa zako binafsi zipatikane kwa watu husika bila shida...Mtaa unaokaa, kazi unayofanya, No ya gari na aina ya gari, mwenendo wako katika maswala ya Kibenki, kama ulishawahi shtaki/kushtakiwa polisi na mambo mengine.
 
Sasa hivi nyingine tena sijui pass za kielektroniki aisee zile walizobadili walichukua finger print yangu Nimetumia only 2-3 years
That was not faire at all. Wangeturudishia pesa zetu.
 
Kwenye passport balaa tupu

Nianze kujaza details za baba, mama na nani vile
Tarehe zao kuzaliwa, wapi, nknk ..... Taifa halikuwahi kuwa na utaratibu mzuri kwa wazee wetu waliozaliwa miaka ya nyuma.

Unajikuta kuchakaa kabla ya umri wako. Maana unakumbana na changamoto za ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom