hizo pilika ndo zimenishinda wafungie tu
Hapa nakimbizana na kubadilisha passport nimeibadilisha mwaka 2018 ya nyuma yake, lakini naambiwa kuibadili tena 150,000
Hayo maihitajio yake sasa utadhania ndio mara ya kwanza .....wakati nimesha badilisha mara mbili huko nyuma
Taifa limekumbwa na mtikisiko kila kona.