Wewe unahisi kadanganya?Huyu si ndo amesema juzi tu hapa kuwa hakuna Uhuru huyu??
Kama hakuna Uhuru hiki ni nini sasa alichokifanya??Wewe unahisi kadanganya?
Amesema anapikea jumbe za vitisho kuhusu kazi yake, kwa hiyo ulitaka aache kufanya kazi kwa ajili ya kutishwa. Au mpaka mtu atekwe ndio uamini kuwa hayupo huru?Kama hakuna Uhuru hiki ni nini sasa alichokifanya??