KIPANYA: Na katuni zake zenye meseji kwetu

KIPANYA: Na katuni zake zenye meseji kwetu

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
11,916
Reaction score
12,210
Assad Vs USA.jpg Assad Vs U S A CCM Vs Ukawa.jpg UKAWA Vs CCM Wawekezaji watufanyavyo.....jpg Wawekazeji Vs Mikataba yetu ATCL.jpg Issue ya ATCL..Vigogo na pensheni.jpg Vigogo na ulafi wa mali za umma..
 
tehe tehe teheeeee,hizo pensheni mbona wanajichotea tu hata huruma hawana lol!
 
yaani jamaa wanachukua madini yetu na gesi halafu sisi wanatupa peremende,duh
 
Sana sana, ila naona kama hapewi nafasi ya kutosha na hizi katuni kuelimisha jamii...

Ukiona hivyo ujue bado hatuko huru. ..
Kuna wanao control media zetu. ..(Hao wanaojichotea pension mapema)
 
Ukiona hivyo ujue bado hatuko huru. ..
:angry:Kuna wanao control media zetu. ..(Hao wanaojichotea pension mapema)
Mwenye nchi katuweka huru (JK), ila wengi hawajuhi, uje kulalamika na vidhibiti, haki ya nani unasikilizwa, na sio upuuzi usio kuwa na mwanzo wala mwisho...wanaosema katafuna au kamuachia mtoto mamilioni/bilioni waje na shutuma zenye vidhibiti tuone, kama kweli utaona, ila kila kama kila baa mjini, petrol station na vibiashara visio na mwanzo wala mwsho mnamshutumu riz1, basi hatutajua ukweli...
 
Ingekuwa kila mtu anafwatilia meseji zake tungefika mbali sana
 
Back
Top Bottom