Kipanya na demokrasia yetu

Kipanya na demokrasia yetu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Bado yupo kwenye ubora wake na sasa ameibuka na kushamili kwa demokrasia hapa kwetu.

Tuchambue nini huyu nguri wa habari picha tuone ana maanisha nini kwenye maisha yetu ya kila siku.
Screenshot_20191203-134310.jpeg
 
Imefika wakati watawala wa nchi za kiafrica wakae chini waunde aina ya demokrasia wanayoitaka ili kunusuru fedha zinazopotea kwenye vitu kama chaguzi hewa nk.
 
Bila hiyo demokrasia hata huyo dikteta asingekuwa madarakani maana mchuano ulikuwa wa watu wengine ndiyo wakaamua kumsukumiza yeye
Ni mfano na kiini macho tu cha demokrasia kuibiana kura kura kwa nguvu,kufukuza mawakala wa vyama na mengi ya jinsi hiyo na dikteta anajua aliiba kura hilo halina ubishi.
 
Hakuna jambo lahovyo duniani kama kuongoza au kuomba kuongoza watu kichwani maarifa hakuna.bora niwe mkulima
 
Back
Top Bottom