Africa is like home
Hii kauli nimeielewa maana sisi ni makazi ya kile kinyume cha kujikinga na korona!! Hatunawi,tunapuuza mambo,hatuna wataalum na umaskini ndo unakandamizia kabisa!! Kweli is like home![]()
Kwa hiyo ule mwingine vipi mkuu? kama huo hauwezi kukupata kwa hapo.....Ugonjwa huu ungekuwa kwenye papuchi ningepata convulsions lakini kwenye hewa hautanipata hata siku moja
Ule mwingine siwezi kupima mpata dawa igundulikeKwa hiyo ule mwingine vipi mkuu? kama huo hauwezi kukupata kwa hapo.....
TIA.Africa is like home 😂
Hii kauli nimeielewa maana sisi ni makazi ya kile kinyume cha kujikinga na korona!! Hatunawi,tunapuuza mambo,hatuna wataalum na umaskini ndo unakandamizia kabisa!! Kweli is like home😂