Kipanya na Bunge... ha ha ha!

Dah Kipanya namkubali sana aise
Anafikiria sana
 
Yani kwa sasa unashindwa kabisa kuangalia kipindi cha bunge na watoto.
 
"kudadadadadadakeki"-Hh Livngstone

Bongo kazi tunayo, Huyu jamaa anatufundisha nini?
 
Niliacha kuangalia vipindi vya Bunge siku nyingi sana haswa baada ya kuona ndio sehemu pekee inayoua demokrasia
 
Vipindi vya bunge vitaanza kuitwa UGALI, PILAU kama zile movie za X kule manzase.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…