ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Jun 11, 2012 #21 Ntu said: Duh! Kama mzee oil chafu vile......! Click to expand... Na juzi alidai kuwa ilikuwa alale Johannesburg, ila ikabidi arudi kwa ajili ya kale ka mkutano kao!
Ntu said: Duh! Kama mzee oil chafu vile......! Click to expand... Na juzi alidai kuwa ilikuwa alale Johannesburg, ila ikabidi arudi kwa ajili ya kale ka mkutano kao!
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,008 Jun 11, 2012 #22 Duh, halafu aliyelala pale sijui kama ni binadamu!
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jun 11, 2012 #23 Hiyo shuka mbona inatoa rangi hivyo? Mpaka mwili umekuwa na rangi ya shuka!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,769 Jun 11, 2012 #24 Siku zote namkubali.
democratic JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 1,642 Reaction score 295 Jun 11, 2012 #25 na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,095 Reaction score 41,711 Jun 11, 2012 #26 ....kwa matumizi ya lugha ya picha,i salute u Mr.!
Mjomba wa taifa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 231 Reaction score 161 Jun 11, 2012 #27 Kama Shuka ni fupi sana afumue na mapindo iongezeke urefu
hasan124 JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 716 Reaction score 128 Jun 11, 2012 #28 Ametisha MASOUD.
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jun 11, 2012 #29 Halafu hilitumii neti.... Malaria itaishaje?
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,558 Reaction score 7,168 Jun 11, 2012 #31 Kiganyi said: Click to expand... Teh teh ccm bwana,utafikiri wanatumia akili za kuazima
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jun 11, 2012 #32 na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe Ina maana Wahasira anatokea gombe? tehe tehe tehe tehe!!!!!
na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe Ina maana Wahasira anatokea gombe? tehe tehe tehe tehe!!!!!
luvcyna JF-Expert Member Joined Feb 24, 2009 Posts 1,848 Reaction score 1,940 Jun 11, 2012 #33 fearless KIPANYA.. you r among the very few. mwingine angejiuliza watanionaje!!
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 11, 2012 #34 ilo shuka au nape...?? eeeh sory nepi..???
M Mzee Kijana JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 1,442 Reaction score 1,145 Jun 11, 2012 #35 KOMBAJR said: Kauli nyepesi utasikia Kipanya ni CDM wait an see. Click to expand... Kwani ulikuwa hujui!!!!? Watakucheka watu.
KOMBAJR said: Kauli nyepesi utasikia Kipanya ni CDM wait an see. Click to expand... Kwani ulikuwa hujui!!!!? Watakucheka watu.
N Ntuya Senior Member Joined Jan 18, 2011 Posts 112 Reaction score 16 Jun 11, 2012 #36 Kipanya unatisha, wape za uso.
P peter tumaini JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 573 Reaction score 94 Jun 11, 2012 #37 thafi thanaaaaaaaaaaaaaaaa