safi sana Kipanya
ya kwangu unaipata
na watanzania wanatamani sana kuukataa umaskini kwa njia zote ila wanakosa utashi na msukumo kutoka kwa wale waliowachagua
Sioni haja ya kusaini kipanya. Nina nyumba tatu Oysterbay zote nimenunua kwa dola, Gari za kutembelea tano na nasomesha watoto na kutibiwa ujerumani, nina hisa kampuni 3 za kimataifa. Infwacti nanufaika na umasikini wenu