KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

FARU JEURI

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
377
Reaction score
299
Kiukweli huwa naelewa sana kazi yake but leo nimefail kuelewa nini alikuwa anamaanisha...

Kipanya.png
 
Mi naona Tai juu ya msalaba na kwa mbali sijui ni bundi yule...
 
Haionekani vizuri piga picha yenye mng'aro (HD amaizing flani) ili twende sambamba.
 
Ni vigumu tai kufukua makaburi. Maana yake vita vya akina daud ni vigumu sana na hawana nguvu wala uwezo wa kupambana. Ila siyo mbaya nimepata jina jipya la baba yake na mwanasiti
 
Back
Top Bottom