Kipanya: Kulikoni tena!

Kipanya: Kulikoni tena!

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,436
Reaction score
50,163
1744083655985.png

1744123759112.png
 
Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.

Shati la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.

Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya hiyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.

Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua na hatimaye kaburi lipate marehemu wa kuzikwa umo .

Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.
 
Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.

Shatu la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.

Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya iyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.

Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua.

Mh! tafsiri yako unaibaka sana!
 
Baada ya Chadema kuingia kwenye uchaguzi wa ndani ... Huyu jamaa mwenye shati la kijani

Alichimba makaburi yake akijua lazima tu huu mvutano baina ya hizo pande mbili zitawatengenezea kulikuwa chama

Lakini baada ya hoja kutibu majeraha na kuvuka salama ... Maana makuburi yake yakageuka kuwa kama swimming pool

Baada ya G55 kuibuka tenaaa

Jamaa kaona usinichezee acha nitoe maji kwenye kaburi maana Tumaini la chama kuingia kwenye mauti ni kubwa 🤣
 
Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.

Shatu la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.

Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya iyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.

Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua.

Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.
Afisa anayetoa maji ana tabasamu ikimaanisha hili jambo linamchekesha na kumpa furaha jambo ambalo linaweza kuashiria tofauti na mtazamo uliotoa.
 
Waswahili mna matatizo Sana .

Anachofanya masoud kipanya ni sanaa ambayo inalenga mwenendo wa kisiasa .

Sasa ukitaka kila MTU atoe tafsiri inayoendana na akili yako kutakuwa hamna maana tena.

Sijui Kama nimeeleweka Ila ukuze ufahamu wako vzr
😂 umeanza kuniita mswahili tena mi sijapinga tafsiri yako upo sahihi iaipokuwa kuna vitu vidogo tu ndo umeongezaongeza, na hizo picha zinamuendelezo zipo za awali na hii ni muendelezo na ndio maana nikakuuliza za awali uliziona..?
sasa uswahili hapo unatoka wapi..?
 
Sawa Ila andika tfsiri yako tusome mkuu
 
Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.

Shatu la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.

Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya iyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.

Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua.

Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.
Nikisema hiyo ndoo ya buluu inawakilisha muungano unaozama huku mwenye shati la kijani akitumia jitihada kuuokoa, naamini sijakosea.

Kwanini kibonzo hiki kimeletwa wakati wa kumbukizi.
 
Hii ni muendelezo wa ile aliyokua anachimba kaburi, bahati nzuri mgonjwa hakufa. Sasa mgonjwa anaumwa tena na mchimba kaburi kalikumbuka kaburi na kaanza kuliandaa tena.

Nina matumaini mgonjwa atapona na muendelezo wa hicho kibonzo utakuwa ni mtoa maji atakutwa na mvua ya mafuriko itakayosababisha kazi yake ishindikane.
 
Nikisema hiyo ndoo ya buluu inawakilisha muungano unaozama huku mwenye shati la kijani akitumia jitihada kuuokoa, naamini sitjakosea.
Andika kwa pembeni tafsiri yako Mkuu au uwanja wa kuandika comment kwenye simu yako haupo
 
Back
Top Bottom