Kipanya: Kuhusu Maisha Ya Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya: Kuhusu Maisha Ya Mtanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chamoto, May 28, 2011.

 1. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  kp may25.jpg

  Je Kuna Ukweli Wowote Hapa? Wana JF mnasemaje? Tutafakari kwa kina.

   
 2. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nadhani kipanya anatuasa kuchukua hatua now la sivyo tutatumbukia hilo shimo.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ni kweli tukiendelea na mwendo huu hakyanani tutajikuta shimoni,ndo wanakotupeleka magamba hawa
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ujumbe kwetu ni kuwa bila mabadiliko hivyo ndivyo itakavyokuwa.
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa mkuu tusipofanya mabadiliko tutapelekwa shimoni.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hiyo katuni wafanyakazi walioacha kazi mashirika binafsi kukimbila serikalini wanaweza kuanza kusaga meno. yaani miaka miwili iijayo graph ya kipanya inasema tutakuwa kama 1980....... yaani hali ya baada vita ya kagera kwisha

  Tusbiri sanaa za bajeti kuwa uchumi wa Tanzania unazidi ku
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naona kuna bifu ambazo hazina mpango mimi napita tu
   
 8. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwangu mimi naona kipanya kachelewesha kupindisha huo mstari unaoelekea chini. maana 2020 ni mbali sana kwa mwendo wa sasa hatuhitaji muda mrefu hivyo kufika hapo unless kuna mabadiliko.
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Unafikiri kuna kitu aliogopa?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kipanya ni jasiri na binafsi namkubali sana.Anafikiri sana kabla ya kuchora.Mwaka 2020 tutakuwa tumeshakufa kwa ugumu wa maisha.Hivyo tuchukue tahadhari sasa maana trend ni mbaya sana.
   
 11. a

  allydou JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  napata tabu kidogo na hiyo graph yake kwa sababu siamini kamba kipindi cha Mkapa hali ndio ilikuwa mbaya kiasi hicho, what i know ni kwamba uchumi wa nchi na individuals uliimprove sana kipindi cha Ben, hiyo dropping yake ingeanza kipindi cha JK.
   
 12. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halafu katupa hali halisi ya nchi, maana katumia rangi za chama tawala, kwamba ndio wanaotupeleka shimoni, kijani na nyeusi:hatari::hatari::hatari:
   
Loading...