Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
hahahah hafaiHuyu jamaa sio wa nchi hii
kwanza asingekuwa anafanya hiyo kazi hadi leo,lazima angepimwa mkojoKipanya angekua anweka ujumbe wake kwa maandishi na sio kwa vibonzo kuna watu wangeumia sina
Huyu jamaa sio wa nchi hii
si ndio matokeo ya albadir tuliyosomewa na serikaliHuu uokotaji wa makopo siyo bure kuna kitu hapo
Marandu cha mtoto.Huyu jamaa sio wa nchi hii
Kuna kijana anaitwa said Michael wakudata nae ni balaaHuyu jamaa sio wa nchi hii
Wamesomewa asee