Kipanya mjinga sana yaani hapo yule mwanamke mwenye blauzi ya njano ni rais, na ndio alikua anaongoza msafara, wale wengine wasaidizi wake na kuna wananchi hapo, ghafla rais anaendelea kwenda mbele huku wasaidizi kila mmoja kamwacha ameamua kwenda uelekeo anaojua yeye, na wananchi wameamua kushika njia yao, katuni itakayofuata itaonesha rais yuko mbele peke yake anawaza kurudi nyuma kuungana na wasaidizi wake na wananchi