Kipanya katika ubora wake

Si kwa bichwa hilo
Kweli kio hakidanganyi
 
Ni ajabu sana. Ramani ya wapi tuendako haijulikani!
 
da! kweli ni shida inatakiwa ajiangalie mpaka kwenye fikra, KP uko vyema ujumbe unafka vzuri.
 
ipo siku vijana wa ngosha watamuibukia kp
 
Haaa mbona karudisha tena kama mwanzo mkulu alilalamika wamuondoe hiyo chogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…