k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 907
- 991
Kweli aisee, Mimi ndio Nipo mtupu Kabisaaa (sijui chochote).Huyu jamaa namuelewa sana, hapo kila mtu anatoka na maana yake
Hapo mimi nimeelewa kuwa umasikini umekithiri mpaka hatua mabafu mazuri
Utaitwa mchochezihali ya uchumi ni tete
Ila nyie. Mmenifanya nicheke asubuhi asubuhi. 😀😀Amekugusia humohumo chooni?
Basi umeguswa sawa sawa mkuu mpaka umeropoka
Siku imeanza vizuriiiiIla nyie. Mmenifanya nicheke asubuhi asubuhi.
Kabisaaaa. Na huu ndio uzuri wa Jf yaani hata kama una hasira ukija humu zinakwisha.
Umeona United walichofanya jana zamu ya Simba J/mosiKabisaaaa. Na huu ndio uzuri wa Jf yaani hata kama una hasira ukija humu zinakwisha.
Hivyo na nyie Mtapindua meza? Imebakia kesho tu.