siyo barabara ya Kimara/Kibaha to chalinze iliyositishwa???????Eti wadau.... kuna nini hapa? Ni gari imeharibika, ama ni kitu gani?
![]()
Ni kawaida madereva akiharibikiwa gari hasa highway, badala aweke Triangle anaweka majani ya mitiEti wadau.... kuna nini hapa? Ni gari imeharibika, ama ni kitu gani?
![]()
Nimecheka mbele ya mgonjwa hadi kapata nafuu , 😂😂😂😂 unajua leo jumapili nimemtembelea jamaa yangu mgonjwa KigamboniBarabara ya njia 8 za "mtupoli" zimeota "miti shamba"
Dar - Chalinze projects imefuliaaa.. hapana chezezea wanaume/ mabeberu. Shikamoo wafadhili.
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.Nimecheka mbele ya mgonjwa hadi kapata nafuu , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua leo jumapili nimemtembelea jamaa yangu mgonjwa Kigamboni
Tena pabaya mno ! kama kiongozi anakuwa mkatiri kwa kuvunja nyumba za watu kisa chama chake kilikataliwa na kuwaacha wa mwanza waliojenga ndani ya uwanja wa ndege kisa ni wa chama chake basi hii laana itamtafuna hadi kaburini .Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Kama nchi ingekuwa inaendeshwa kwa mabishano ya hoja kama ulivyofanya hapa kusingekuwa na tatizo. Chanzo cha haya yote ni pale hoja zinapojibiwa kwa risasi 38, kung'oa kucha na kuingizwa spoke sehemu za siri.Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Yale yale ya zenji mtu anasusa kwenda kuhani msiba wa jirani kisa yeye cuf mimi ccm. Hapa bara sasa yanakuja kwa mtindo mwingine. Mradi wowote unajengwa na serikali iliyopo madarakani ukipata changamoto tu tayari watu wasioitakia serikali mazuri wanakenua meno kwa furaha kama vile ule mradi wao hawatanufika nao! Akili zingine bwana taaaabu kwelikweli! HIZO NI AKILI ZA KICHAWI MAANA MCHAWI NDIYE ASIEPENDA KUONA JIRANI YAKE ANAFANIKIWA!Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Maneno mazito sana haya ya gtKama nchi ingekuwa inaendeshwa kwa mabishano ya hoja kama ulivyofanya hapa kusingekuwa na tatizo. Chanzo cha haya yote ni pale hoja zinapojibiwa kwa risasi 38, kung'oa kucha na kuingizwa spoke sehemu za siri.
Eti wadau.... kuna nini hapa? Ni gari imeharibika, ama ni kitu gani?
![]()
Kwakweli ntajihisi furaha sana. Angalau mzee amefikiria kufanya kitu cha maendeleo kuliko hizo fedha angeenda kulewa Bar au kuhonga nyumba ndogo. Kupanga ni kuchagua.Hiyo imekaa mbaya mkuu! Lakiji jiulize itakapokuwa baba yako kakunyima hela ya uniform za shule kwa kisingizio cha kununuwa gari ya kukupelekea shule, ikaja ikatokezea kuwa gari aliyonunuwa kumbe haitoweza kutembea kwa vile itahitaji hela zaidi ya mzee.anazoweza ku afford, utajihisi viipi?
Nikupe siri unapojenga Kwa maridhiano na unapojenga Kwa ubabe na kejeli pesa za walipa kodi au mikopo tunakuja kulipa wananchi.so Mungu anaweza shuka kukuonyesha kuwa dharau na ubabe sio tijaNyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Aliye anzisha chuki ni baba mwenyenyumbaHIZO NI AKILI ZA KICHAWI MAANA MCHAWI NDIYE ASIEPENDA KUONA JIRANI YAKE ANAFANIKIWA!