Kipanya: Hii imaanisha nini? Ni gari imeharibika??

Eti wadau.... kuna nini hapa? Ni gari imeharibika, ama ni kitu gani?

kp11052019-jpg.1095211
kipanya huyo tafsiri codes ! utapata jibu
 
Mradi unaowekwa pending ni ule uliotakiwa uwe wa PPP ambao ungeanzia daraja la kigamboni_kongowe_chamazi_pugu hadi chalinze km 144 as Express way ya kulipia ipo kwenye ilani ya ccm nadhani page 53/58,

Ila ndugu zangu treni ya Umeme inakuja na 8lanes Kimara hadi Kibaha sasa tujenge nyingine tena 6lanes ?
 
Ujenzi wa kilometres 144 za barabara ya Chalinze umeahirishwa kwa kuwa WB wamegoma kutoa pesa baada ya waliovunjiwa nyumba zao zaidi ya 50,000 kutolipwa fidia. WB wamegoma kuunga mkono dhuluma.
Hivi hio km144 ni kutoka wapi hadi Chalinze?
 
Mradi unaowekwa pending ni ule uliotakiwa uwe wa PPP ambao ungeanzia daraja la kigamboni_kongowe_chamazi_pugu hadi chalinze km 144 as Express way ya kulipia ipo kwenye ilani ya ccm nadhani page 53/58,

Ila ndugu zangu treni ya Umeme inakuja na 8lanes Kimara hadi Kibaha sasa tujenge nyingine tena 6lanes ?
Ndio maana nikauliza hii km144 ni kutoka wapi hadi Chalinze?
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Unajuwa, kama umemshauri mtu jambo akalipuuza tena Kwa kejeli kubwa, UNATEGEMEA MTU HUYO ASEME NINI UNAPOFELI..????
 
Hiyo barabara ya kulipia kutoka Kigamboni,Chamazi,pugu hadi Chalinze,Wabongo mngeweza kupita barabara ya kulipia kama ulaya!?

Treni ya Umeme inawatosha na 8lanes ya Kimara hadi Kibaha inatosha.
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.

Hawa nivijana wanafiki sana..
Wanalilia maendeleo wakati wanakesha wakiwanga serkali ishindwe..
Wanapata tabu sana serkali haishindwi daima
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Vijana was CHADEMA ingawa wanalipa kodi hawana magari ni mafisadi wa Serikalini na CCM yenyewe ndo wanapita kwenye barabara hizo. Kwa nini wasifurahi kodi zao zikiokolewa?
 
Kwakweli ntajihisi furaha sana. Angalau mzee amefikiria kufanya kitu cha maendeleo kuliko hizo fedha angeenda kulewa Bar au kuhonga nyumba ndogo. Kupanga ni kuchagua.
Hayo ni mawazo yako na nayaheshimu lakini mimi nitamuona mzee ni Pimbi fulani hivi asiyejielewa!
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Na bado mtakufa midomo wazi na fisiem yenu
Malipo ni hapahapa duniani
Hakuna kitu kinaenda bure
Mungu ni wetu sote
Na anackia machozi ya wanyonge
So mjipange na bado ilo ni trelaaa!
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.
Hatutakaa kimya hadi pale Mtukufu atakapoacha siasa kwenye shughuli za Kitaifa. Aache ubaguzi airejeshe nchi kwenye umoja alioukuta. Aache mbwembwe kwenye miradi ya maendeleo. Asipofanya hivyo hatutasita kushangilia pale anapokwama.
 
Yale yale ya zenji mtu anasusa kwenda kuhani msiba wa jirani kisa yeye cuf mimi ccm. Hapa bara sasa yanakuja kwa mtindo mwingine. Mradi wowote unajengwa na serikali iliyopo madarakani ukipata changamoto tu tayari watu wasioitakia serikali mazuri wanakenua meno kwa furaha kama vile ule mradi wao hawatanufika nao! Akili zingine bwana taaaabu kwelikweli! HIZO NI AKILI ZA KICHAWI MAANA MCHAWI NDIYE ASIEPENDA KUONA JIRANI YAKE ANAFANIKIWA!
Tukiwaambia msinunue ndege kwa sasa tufufueni kiwanda cha matairi cha GENERAL TYRE mnakataa. Kwanini tusishangilie pale ndege inaposhindwa kuruka au kuruka kwa hasara?? Hayo ya Znji bila shaka unawafahamu waanzilishi wake. Mh Lissu alipokuwa Hosp Nairobi watu wa chama fulani walipigwa mkwara na M/Kiti wao kwenda kumuona Mgonjwa.
Mh Lema alipokuwa Gerezani wanakamati wenziwe bila kujali chama walipaga kwenda kumtembelea. Vivyohivyo walipigwa mkwara. Sasa mnapokwama kwanini isiwe sherehe kwetu??
 
Nyie vijana wa Chadema inabidi mkapimwe akili, kuna kitu hakijakaa sawa. Yaani mtu unafurahia kabisa kutoka rohoni Serikali inaposhindwa kutekeleza mradi fulani wa maendeleo. Hiyo barabara yenyewe ikijengwa haitokua ya CCM bali ni ya watanzania wote. Tumefika pabaya sana.

One-man show ziko to total failure
 
Back
Top Bottom