Kipanya hapa anamaanisha nini?

Mi Apo naona Ni Mbuzi kagoma kwenda.

Au wee mtoa mada umeona kifo Cha mende?
 
Ni vile mitambo ya Mzungu ilivyoshindwa kung'oa kirusi kiduchu ch Kovidi-19. Angalia kidubwashwa kinachovutwa na mvutaji ni mweupe, ndipo utajua Kipanya sasa kawageuka Mabeberu wenzie baada ya kugundua kuwa matapeli kama matapeli wenzie.
 
Bulldozer mambo yamemgeuka, alikuwa anadharau corona kwamba ni kajitu kadogo, sasa kanamwendesha,mambo yamekuwa magumu.
Duh!! Kumbe ujumbe unahusu koroma, so anaivutia nje ya mipaka inagoma au??
 
Naiheshimu sana IQ ya Masoud yupo creative sana huyu jamaa walioelewa na waelewe [emoji23][emoji23]
 
Duh!! Kumbe ujumbe unahusu koroma, so anaivutia nje ya mipaka inagoma au??
Ujumbe ni kwamba siyo kila tatizo linahitaji kutumia nguvu, tatizo unaloweza kuliona ni ndogo linaweza kukushinda na kukutia adabu ukitaka kutumia ubabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…