Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Msanii maarufu na nguli wa michoro ya katuni maarufu kama Kipanya ametegua kitendawili cha viongozi wateule na kutufungua macho.
Wengi wetu tulikuwa tunajiuliza inakuwaje hawa wateule wanatutawala kwa mbwembwe kumbe kuna kitu wanalenga ili kulinda kibarua chao.
Wengi wetu tulikuwa tunajiuliza inakuwaje hawa wateule wanatutawala kwa mbwembwe kumbe kuna kitu wanalenga ili kulinda kibarua chao.