Kipanya awakejeli akina dada

Kipanya awakejeli akina dada

Hajakejeli kaweka ukweli. Wanawake kuna saa tunajisahau sana,ukipata hela kidogo tu nyodo tele,dharau kujiona wa thaman wakati hata akiba haweki hana mali za maana. Likimkuta la kumkuta utamuonea huruma.

Mfano mzuri upo kwa hawa wadada wa bongo movie walikua na kufuru za hali ya juu kisa vigogo kuwahonga,saiv kiko wapi,wanagombania vijana wa bongo fleva.
Aaahhh kumbe we jike eeh
 
Ni tabia ya wanawake wote hiyo. Mwanamke akiwa na pesa ni mungu mdogo.
 
Kuna mmoja alikuwa anaingiziwa pesa tu kwenye account yake, na yeye alivyokuwa na akili nyingi alijirusha na mashost, mara weekend Mombasa, mara anakodi basi picknic pangani, shopping Dubai. Baada ya uchaguzi kigogo amekata hata simu hapigi, account imekauka sasa ndiyo anaamka usingizini.
 
JPM balaaa yaani nyumba ndogo nyingi zimeonyeshwa kadi nyekundu mazee wengi sikuhizi akitoka ni kuwahi nyumbani
 
kwel kaz wanayo....kila siku wanazd kuze'eka tu hela ya vpodoz vya bei mbaya imekata...NGAA!
 
Hahahaaaa,Hata mi inawezekana ninii?Sababu wikiiliyopita nilikutana na mdada ambae alikua ukikutananae kukusalimia yani nikwa nyodo kanakwamba unamlazimisha hiv,Leo j pili nimekutananae nikitokea Kanisani yaan sikuamini!salamu yake,hee mambo niwewe za siku kwema,nikaitikia lakini nikawa nashituka hiv huyu ndio yule ninae mjua au?nikaanza kujishtukia au sijanawa uso vzr nn?au MAKAMASI yananing'inia kwenye pua yangu,ok nikamuaga nikaachana nae,nimefika mbelekidogo nikakutana na mwalimu wangu wa chuo nilivyo salimiananae akaniambia aisee leo nisiku nzuri sana yaan wewe nimwanafunzi wangu wa pili kukutana nawe,ila niliekitananae ni mdada mmoja alikua anajisikia sna kiasikwamba akikusalimia nenda uka chinje kuku,lakini leilo nimeona tofauti kabisaa,nikamuuliza kwanin mwalm?lakin nimegundua kumbe alikua ameachika alikua kimada wa Mh na mh amekosa ubunge hivyo nyumba mdogo imefikia mwisho,sasa ameanza kujirudisha kwenye jamii.uposahihi kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom