Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,981
- 134,107
Kuku itikia
ha hahahahaKuna mmoja kanitumia txt hewa, lengo tu nimuulize kulikoni then aanze..
Ongeza siku za kuishi tu, lakin usitumie hii ya mwenzioha hahahaha


sawa mkuuOngeza siku za kuishi tu, lakin usitumie hii ya mwenzio![]()
kama wewe ndiyo uliyempiga chini mchepuko wako yule wa maeneo ya mbezi beach yule lazima akuendee kwa mganga pango linakaribia kuisha kodi we ndiyo unamwaga hakuachi salama .. binti aamini anaweza kuachwaInabidi tuwe makini sn...leo nahisi kuna mtu kaniendea kwa mganga
Sehem ambayo silali siwezi kulipia kodikama wewe ndiyo uliyempiga chini mchepuko wako yule wa maeneo ya mbezi beach yule lazima akuendee kwa mganga pango linakaribia kuisha kodi we ndiyo unamwaga hakuachi salama .. binti aamini anaweza kuachwa
si unaenda kupigia mzigo paleSehem ambayo silali siwezi kulipia kodi
Mimi mzigo napiga ucku...umesahau?!si unaenda kupigia mzigo pale
najua unapiga usiku lakini si unapigia kwake ? mrudie bwana binti anaweukaMimi mzigo napiga ucku...umesahau?!
Anataka kuchunwa nini?Et kuku kshtuka ha ha ha
anaitiwa punjea mcheleKuku ujue haamini. Anadhani anataka kuchinjwa
aaaa haaaa haaa jamanKuku ujue haamini. Anadhani anataka kuchinjwa
Haaa haaaa jaman sio kwelikuna mmoja juzi alinisalimia mpaka nikaanza kujiangalia labda kulikuwa na tatizo mwilini kwangu....