Hajakejeli kaweka ukweli. Wanawake kuna saa tunajisahau sana,ukipata hela kidogo tu nyodo tele,dharau kujiona wa thaman wakati hata akiba haweki hana mali za maana. Likimkuta la kumkuta utamuonea huruma.
Mfano mzuri upo kwa hawa wadada wa bongo movie walikua na kufuru za hali ya juu kisa vigogo kuwahonga,saiv kiko wapi,wanagombania vijana wa bongo fleva.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.