Asante Kipanya kwa kutukumbusha kua baadhi ya waislam
wanasubiri ramadhan iishe tu ili warudie tabia zao ambazo
haziendani na mafunzo ya kiislam. We will pray for them
allah awawezeshe kuachana na tabia hizo, insha'allah.
Hakuna alie kamilika.
kipanya kakumbusha, tatizo kuna watu wafitini wanataka kujaribu kuudhalilisha uislam na kuleta fitna, mwisho wa ck utasikia wanalalamika kuna udini wakati wao ndio wanao uchochea.