Kipanya anataka nini JM au CCM ?

Hatari sana jamaa kakaba sehemu yote kuchukua nafasi ya vyombo vya dola.
 
Utasikia hakuna uhuru wa vyombo vya habari! Labda wamefinywa wale wanaovuka mipaka.
Chukua πŸ‘Š.
Mkuu umenea jambo kubwa sana hapa.
Na soon watakuja watu wapiga zumari media zimebanwa wakati huu ujumbe wa masoud kiπŸ€ unabeba kurasa mia za kuelezea mfumo ulivyo.
 
Chukua πŸ‘Š.
Mkuu umenea jambo kubwa sana hapa.
Na soon watakuja watu wapiga zumari media zimebanwa wakati huu ujumbe wa masoud kiπŸ€ unabeba kurasa mia za kuelezea mfumo ulivyo.
Kila sehemu unatumia akili tu utafika nadhani hapa ndio wanapofeli.
 
Sina cha kunena isipokuwa hivi tu..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…