Kipanya anamchokoza mtu

Yaani hawa waliokosa uzalendo ndio wanakula mhogo, wako tz bado wanaichongea tz ili hali wako kwenye chombo hiko hiko, leee...su na wenzie wanaharibu na kushabikia canada washikirie ndege yetu wakat na wao n watz wako hum hum tz..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

JKN alisema Kiongozi asiyefuaa Sheria na Katiba aliyoapa kuilinda hatufai hata kidogo yatupasa kumwambia akishindwa arudi kwao akachunge ng'ombe...................
 
Yaani jamaa ka-focus mbele tu aangalii nyuma wala pembeni sasa nyuma mambo yanaaribika
 
Tuko kwenye mtumbwi ila wasaliti wanakula uo huo mtumbwi tuliomo.

Any way, rais wakabe wote akina LT hadi wataje wahusika wote walipo.
Kwahiyo nani anayekula mtumbwi siyo km mzee wa hasara jpm? Maamuzi ya ovyo ndiyo yatasababisha nchi hii kuangamia.
Lissu ni sawa na mtu anayekuambia, ww ni mchafu unakunya ndani. Ukimfunga Lissu haiwezi kusaidia kuoondoa uchafu sbb hana idhini ya kuingia kweny nyumba yako. Magu alistahili kutoa uchafu, na kusafisha nyumba.
Hili taifa jpm na kikundi chao cha wez ccm wanaongoza kwa kurudisha maisha ya watu nyuma
 
Reactions: BAK
Hao mapanya kama wa kenya au?

mzee mzima haishiwi maneno
 
Kipanya ana akili sana


Hiyo boti ni nchi ya Tanzania, so kuzama kwa Tanzania maana yake nn? Nani atapona?
Chadema watapona ndio maana wanashangilia ukizama!
Povu:Linaruhusiwa.
 
Dereva yeye anaendelea tu haangalii pembeni
Mwisho wa siku atakuta anazama
 
Likipita wimbi kubwa hapo hiyo boti ya mapanya buku inazama
Kabla wimbi kubwa halijapita watakua tayari wameshakula hicho kilichowabebea chote na kujikuta wamezama
 
panya mkuu anaangalia mbele ila kuna panya wapumbavu wanatafuna boti, hii inamaanisha kuwa nchi yetu ipo katika hali mbaya mkuu anajalibu kuangalia mbele tunakoelekea ili nchi isonge ila kunawajijga wengine wanatafuna nchi ili kuizamisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…