Ngoja wataalam waje, mm cjui kamaanisha nini.
Ndio akina Lisu hao.duuh panya wanatafuna mtumbwi ambamo wamepanda
Likipita wimbi kubwa hapo hiyo boti ya mapanya buku inazama
duuh panya wanatafuna mtumbwi ambamo wamepanda
Yaani hapo kipanya kamaanisha kwamba boti inaendeshwa huku inaliwaKipanya ana akili sana
Hiyo boti ni nchi ya Tanzania, so kuzama kwa Tanzania maana yake nn? Nani atapona?
tumsifu Yesu KRISTO
Milele Amina.tumsifu Yesu KRISTO
Yaani hapo kipanya kamaanisha kwamba boti inaendeshwa huku inaliwa