Kipanya anamaanisha nini hapa

Kobe akikutana na adui huingia ndani na kujificha na ugumu wa gamba lake huwezi kumtoa mpaka yeye atake mwenyewe.


Sasa hio picha ina maana wanachi wanataka kujua rais yuko wapi? Lakini kutokana na uzio mgumu wa serikali uliojijenga huwezi kupata kujua hali ya Raisi hata ukitumia nguvu huwezi ingia na ukichungulia bado hutoona kwa sababu ya giza.

Huo ni mfano wa jinsi wanachi wanapata tabu kujua ukweli wa Raisi kuhusu hali yake hata kama serikali haitaki kutoa taarifa eiza kwa uzuri au ubaya.
 
Mh! Inawezekana.........
 
Mkuu umewaza.mbaali sana unataka kusema anataka kujifanya immortal???[emoji848][emoji848]
 
Zamani nikiwa singida nlijua kuingiza kidole kwenye sehemu ya nyuma ya koba makalioni lile gamba huwa linafunguka na kujifunga.


Kilichonitokea nusu nipoteze kidole yaani ni kama nimebanwa na plaizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…