EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
[emoji3][emoji375][emoji375]unajiita Einstein unashindwa kuelewa fumbo dogo kama hilo?
Sa si ueleze tujue uelewa wako ukoje mbona mnapendaga ligi za.kijinga??unajiita Einstein unashindwa kuelewa fumbo dogo kama hilo?
Au anatunga sheria??Ukiona gamba la kobe hivyo kuna mengi utajiuliza..
Yumo? Mzima?
Hebu muite aje hapa[emoji1313][emoji1313]
[emoji851][emoji851] zito,,Mm nimelitikisa asee n jepesiii ila sijaangalia ndani kwan akiwa ndan huwa zito au jepesi msaada tutani?
Roho kiaje hapa tunazungumzia mwiliRoho haipo ndani ya mwili limebaki jumba [mwili] tu.
🤣🤣 hyo ni ramli chonganishi
Mkuu toa uzoefu wako kwa katuni za masudi[emoji1787][emoji1787] hyo ni ramli chonganishi
Kama kweli nini tena mwamba?Inasikitisha sana kama ni kweli.