Kipanya ana kibonzo fikirishi

Kipanya ana kibonzo fikirishi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,433
1601527802014.png
 
Mlala hoi kapewa silaha ya kufanyia uchaguzi Tanzania ila hajui aitumiaje. Kashaumizwa sana miaka mitano ya kwanza (vidole vi5 jinsi vilivyovimba) ila inaelekea anataka kumalizia kuvishoot tena vitano vilivyobaki

Huyu mlala hoi kilaza vipi? Kipanya noma!
 
Tanzania salama inataka kuvuliwa viatu na kuharibiwa na wapinzan wakipewa madaraka(bastola)
 
Vidole 10 miaka ya kuongoza Nchi kulingana na Katiba. Mitano ya kwanza inaishia, Dole Gumba lililochomoza ndo mitano inayotaka kuanza.

Suala ya Kuianza Mitano mipya Tukiwa na Amani ama La ni Uamuzi wa Wananchi wenyewe maana ndo wenye dhamana ya kuilinda Amani.
Tujilipue au turuhusu Mitano yenye Amani kwa Kufanya Uamuzi sahihi kulingana na Sera na Mwelekeo wa Taifa kwa Miaka mitano Ijayo.Uamuzi ni Wetu..
 
Mlala hoi kapewa silaha ya kufanyia uchaguzi Tanzania ila hajui aitumiaje. Kashaumizwa sana miaka mitano ya kwanza (vidole vi5 jinsi vilivyovimba) ila inaelekea anataka kumalizia kuvishoot tena vitano vilivyobaki

Huyu mlala hoi kilaza vipi? Kipanya noma!
Una akili nyingi sana

Hizi ndio hesabu za maumbo
 
Mlala hoi kapewa silaha ya kufanyia uchaguzi Tanzania ila hajui aitumiaje. Kashaumizwa sana miaka mitano ya kwanza (vidole vi5 jinsi vilivyovimba) ila inaelekea anataka kumalizia kuvishoot tena vitano vilivyobaki

Huyu mlala hoi kilaza vipi? Kipanya noma!
Kuna watu mnazo akili.
 
Kipanya anamaanisha kuwa hiyo ni miguu ya Tundu Lissu ilivyo mibayaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wanao watakuwa na hasara kuwa na mama wa hivi yatakuwa yale mazezeta kama kuku wa kisasa ambao hawajui kujitafutia chakula
 
Mlala hoi kapewa silaha ya kufanyia uchaguzi Tanzania ila hajui aitumiaje. Kashaumizwa sana miaka mitano ya kwanza (vidole vi5 jinsi vilivyovimba) ila inaelekea anataka kumalizia kuvishoot tena vitano vilivyobaki

Huyu mlala hoi kilaza vipi? Kipanya noma!
Safi tafsiri yenye mashiko.
 
Tanzania salama inataka kuvuliwa viatu na kuharibiwa na wapinzan wakipewa madaraka(bastola)
Jinga sana,amani mnaiharibu wenyewe lkn mnasingizia Upinzani.Kenge kasoro mkia,usirudie kutoa komment za kimavi mavi km hizi.
 
Hicho kidole gumba kilichotikezea kimefanana na kichwa cha mgombea mmoja
 
Back
Top Bottom