Kipanya aibuka na wanaCCM

Kipanya aibuka na wanaCCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,304
Yule gwiji wa habari picha maarufu kama Kipanya leo kaibuka na makundi yaliyo ibuka ndani ya CCM.

Tafadhali mwenye uelewa wa kusoma habari picha atujuze zaidi sisi kina kwangu pakavu kwenye mambo ya habari.

Screenshot_20210428-074214.jpg
 
kuna uzi niliandika ukafutwa 2025 ccm wakitoboa basi,lakini leo tunaona wanaumana
 
Safari ya Mama Samia mpaka kufikia 2030 inaonekana itakuwa na vigingi vingi sana. Inampasa na yeye pale atakaposhika rasmi nafasi ya uenyekiti taifa, alishike rungu sawasawa na kufyekelea mbali vizabinazabina wote.
 
Back
Top Bottom